Pingu za Sheikh Ponda zawaumbua polisi mahakamani

Pingu za Sheikh Ponda zawaumbua polisi mahakamani

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
266
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo

SOURCE: REDIO IMAAN.

MY TAKE:
KUMBE MBWEMBE ZOTE ZA POLISI WANAZOTUMIA KWA SHEIKH PONDA NA WAISLAM NI SHINDIKIZO NA KUWAFURAHISHA WATU FULANI NA SIO KWA MUJIBU WA SHERIA.MFUMO KRISTO HADI KWA DPP NA JESHI LA POLISI?

MBONA HATUKUWAHI KUMUONA ABDALLA ZOMBE, MCHUNGAJI MTIKILA NA WATUHUMIWA WENGINE NA IWE KWA SHEIKH PONDA AMBAE AMESHTAKIWA KWA KOSA DOGOTU LA KUKIKOMBOA KIWANJA CHA WAISLAM?
 
Redio iman ni ya nchi ngani mkuu, inajishughulisha na siasa za mlengo gani?
 
Kweli jela haina mwenyewe! Sasa jeuri yote iko wapi? Jela ni nouma jamani! Angalia sasa......
 
Waislamu wakiongea mnasema walalamishi hiyo kazi kwenu tutapigana mpaka haki ipatikane kwa watanzania wote.
 
Redio Iman ni redio ya kighaidi. Kijukuu huu si uwanja wako nakushauri uende kwa maghaidi wenzako mzalendo.net
 
Yeye alijifanya kuipa serikali siku kumi ili wafuasi wake waachiwe na kuwekewa dhamana. sasa serikali inampatia joto la jiwe na hakuna mfuasi wake kumgombea aachiwe.

Zombe na mtikila hawakuipa serikali kalipio hii ndio tofauti.
 
TUANDAMANE, Leo Ijumaa imefika siku ya uhalifu kitaifa. Kupora, kuchoma makanisa, kuiba, kubaka na kufanya kila aina ya uchafu kwa kisingizio cha kusaka haki na kumtetea mtume
 
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo

Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa kumfunga Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo

Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfunga Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo

ukimaliza kuedit watu wengi watachangia...
 
TUANDAMANE, Leo Ijumaa imefika siku ya uhalifu kitaifa. Kupora, kuchoma makanisa, kuiba, kubaka na kufanya kila aina ya uchafu kwa kisingizio cha kusaka haki na kumtetea mtume

Kwa wakristo siku ya kuabudu (jumapili au jumamosi) ni siku takatifu. Kwa wenzetu siku muhimu kuabudu ndo hutumiwa kufanya maovu kama uloyataja. Kama si shetani yuko nyuma yao, ni Mungu wa aina gani anayebariki matendo kama hayo? Isitoshe ni mwanadamu gani mwenye nguvu ya kumtetea Mungu? Mungu ana mamlaka yote hahitaji kutetewa kwa mapanga na marungu.
 
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo

SOURCE: REDIO IMAAN.

MY TAKE:
KUMBE MBWEMBE ZOTE ZA POLISI WANAZOTUMIA KWA SHEIKH PONDA NA WAISLAM NI SHINDIKIZO NA KUWAFURAHISHA WATU FULANI NA SIO KWA MUJIBU WA SHERIA.MFUMO KRISTO HADI KWA DPP NA JESHI LA POLISI?

MBONA HATUKUWAHI KUMUONA ABDALLA ZOMBE, MCHUNGAJI MTIKILA NA WATUHUMIWA WENGINE NA IWE KWA SHEIKH PONDA AMBAE AMESHTAKIWA KWA KOSA DOGOTU LA KUKIKOMBOA KIWANJA CHA WAISLAM?
kumbe mtu anapokomboa kitu chake ni kosa japo dogo ee! ok.kumbe muhalifu aliefanya kosa dogo hatakiwai afungwe pingu na akifunga ni kinyume na sheria ee! ok. tukipata wanasheria kama ninyi mtatusaidia sana.

Mnaojiita waislamu acheni mara moja kujidhalilisha kwa vihoja vyepesivyepesi namna hii jamani. Hebu zungumzeni kitu material watu wachangie. Mpaka tulioko bush nasi tuwashtukie kuwa hamna hoja zaidi ya kuonewa, kuonewa, kuonewa jamani? Is Islam this cheap?
 
Waislamu wakiongea mnasema walalamishi hiyo kazi kwenu tutapigana mpaka haki ipatikane kwa watanzania wote.
Sema kwa waislamu wote ondoa neno watanzania wote kwani sisi hatupo kwenye hila zenu za kigaidi!
 
Shekh ponda kwetu bado ni shujaa mkubwa kwani ata nabii yusuf alifungwa jela kwa kosa ambalo si lake na kupelekea ukombozi
 
Shekh ponda kwetu bado ni shujaa mkubwa kwani ata nabii yusuf alifungwa jela kwa kosa ambalo si lake na kupelekea ukombozi
Kwetu ni gaidi la nguvu na tunataka sheria ichukue mkondo wake mara moja!
 
Bora urudi Facebook ulikotoka! Itawachukua karne nyingi nyie kubadirika!
 
Mwandikie malalamiko yako DPP, ukiyaleta hapa, hakutakuwa na mabadiliko yeyote, sana sana waweza jikutwa unapandishwa ghadhab na kuharibiwa Ijumaa yako.

Sasa wewe unavyokuja kuilalamikia serikali humu JF uoni kama unapoteza muda wako bure.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom