Pini jingine kutoka kwa Rosa Ree utata mtupu Kanisa lahusika, adai "I'm not Sorry"

Pini jingine kutoka kwa Rosa Ree utata mtupu Kanisa lahusika, adai "I'm not Sorry"

Mwenye lyrics za wimbo huu aweke tusome. We can not judge a book by its cover!
 
I find this lass a cornball. She tries too hard. Maybe I'm too old for this shit.
ID yako tu mkuu imenikumbusha far away...... Anyway Dem anajua huyu Kuna ngoma anakua creative kupitiliza tafuta kanyor aleng au Ile inaitwa Satan.....

Ngoja niiskilizee na hii nione maana anaInguaga Sana tu nyimbo zake
 
Wimbo mzur lakini hakuwa na haja ya kwenda kufanyia video kanisan... plus kutumia lots of F words.....
 
Jamiiforum na ujuaji mwingiiii..... Ukiangalia comments za youtube na jamiiforum ndo utaona tofauti
 
Back
Top Bottom