Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #81
VISUUNilipoona neno "PINI" limenipa shida[emoji23][emoji23]
Ndio jina lao walilobatizwa huku vibanda umiza
[emoji112] [emoji112] [emoji112][emoji124][emoji124]daaah chimbo limebuma ngoja nikale ubuyu huko mtaa wa saba
Acha nijichagulie ya paka na panyaMimi nakuchagulia man cty na azam fc
Haya[emoji23]Acha nijichagulie ya paka na panya
Bro una picha zao ?warembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na mama la mama
Hajar
Mzigua90
Nifah
Thad
Numbisa
zeshchriss
Hao ni baadhi tu wengine jitokezeni tuweze kuwaandalia kadi za uwanacha
Bado wa 5........! Nasubiri picha.Huyu katajwa hapo juu...View attachment 882456
Daaah,imekuwaje aisee,mimi mwenyewe nilikuwa naisubiri kwa hamu sana.Mechi niliyokua naisubiri in ya Hacker Wa Thailand na Mark zuckenburg baahati mbaya imeahilishwa
aisee sio nanii uyu [emoji848]Huyu katajwa hapo juu...View attachment 882456
Ndio mwenyeweaisee sio nanii uyu [emoji848]
[emoji23] [emoji23] kwa ile picha ya Prince nayoiona kuna ka ukweli flaniHawatufikii Simba aisee
Bro una picha zao ?
Hahaha subiri nipewe kibaliBado wa 5........! Nasubiri picha.
Nitumie pm mkuu then ntarudi kucomentHahaha picha zipo mkuu,siwez weka bila idhini yao[emoji23] [emoji23]
huyu ni wa pili kutokea katikati katika hiyo list hapo ya mtoa madaHuyu katajwa hapo juu...View attachment 882456
Unaizungumzia je picha ya mgeni wa mechi ya jana aliekua amevaa uzi mwekundu?Yanga ni timu ya wanawake hujui mkuu?
Hakikaahuyu ni wa pili kutokea katikati katika hiyo list hapo ya mtoa mada
Masaa 48 yanakuita mkuuUnaizungumzia je picha ya mgeni wa mechi ya jana aliekua amevaa uzi mwekundu?