Pini kali zote za jf ni YANGA

Pini kali zote za jf ni YANGA

Swahiba naomba ruksa yako nipost picha yako moja tu naamini utavunja rekodi za kufuatwa pm!!
Na nna uhakika kuna Id kibao za wadada wa humu zitakuwa offline kuanzia leo
Uuuwiiii! Wacha utani yaani kwa unachokiandika wewe sasa ndio utafuatwa Pm uitowe picha ya Hajar wakati unachangamsha genge. 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom