Pini kali zote za jf ni YANGA

Yanga ni timu ya wanawake hujui mkuu?
Ewaaaaa! Sahihi kabisa. Halafu ni timu yenye vilaza wengi na wachawi wengi sana. Ukitaka kuligundua hili angalia kitaani unapokaa, wazee wote wanaotajika kwa uchawi ukiuliza timu yao utajibiwa ni Yanga.
 
Pole sana mkuu,draw nayo matokeo
 
Kumbe hizo ni PiNi,,
 
Inaonekana wewe ni Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…