Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #121
HujakoseaInaonekana wewe ni Yanga
Zimefika kiongoziOK gotcha. Mpe hi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi weye mwanayanga mwenzangu unataka picha zetu. Duuuh.
Ndio umeamka??[emoji23] [emoji23] ule msako umekulaza fofofoEwaaaaa. .
Hahahaaa. Nipake mafuta tu Swahiba.Ila we nakujua vizur Swahiba ndo maana nikaunga mkono hoja ya sie Yanga kuwazidi Mikia fc kwa kila kitu! Pokea bonge la kiss huko uliko swahiba
Swahiba naomba ruksa yako nipost picha yako moja tu naamini utavunja rekodi za kufuatwa pm!!Hahahaaa. Nipake mafuta tu Swahiba.
Hahahaaaa. Acha tu aiseeee.Ndio umeamka??[emoji23] [emoji23] ule msako umekulaza fofofo
Uuuwiiii! Wacha utani yaani kwa unachokiandika wewe sasa ndio utafuatwa Pm uitowe picha ya Hajar wakati unachangamsha genge. πππππSwahiba naomba ruksa yako nipost picha yako moja tu naamini utavunja rekodi za kufuatwa pm!!
Na nna uhakika kuna Id kibao za wadada wa humu zitakuwa offline kuanzia leo
Mama Samsung ungekosa hapo ningemtia Roba ya mbao mtoa madaHahahaaaa. Acha tu aiseeee.
Siitoi hata nikipewa zile 1.5 TirionUuuwiiii! Wacha utani yaani kwa unachokiandika wewe sasa ndio utafuatwa Pm uitowe picha ya Hajar wakati unachangamsha genge. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Style hii nahama Tp Mazembe na APR najiunga na YangaHuyu katajwa hapo juu...View attachment 882456
Mama Samsung ungekosa hapo ningemtia Roba ya mbao mtoa mada
Hahahaaaaa. Lol.Siitoi hata nikipewa zile 1.5 Tirion
Karibu sana mkuuKwa Style hii nahama Tp Mazembe na APR najiunga na Yanga
Hahahaaa. Mtani hivi kuhama timu ni kazi rahisi eee?Kwa Style hii nahama Tp Mazembe na APR najiunga na Yanga
Nakazia. Akaribie tu kwa kweli.Karibu sana mkuu
Karibu sana mnywaji mwenzanguKwa Style hii nahama Tp Mazembe na APR najiunga na Yanga
Me mzima Swahiba nipo napata lunch hapa kwa mtogole, karibu tujumuikeHahahaaaaa. Lol.
Uko mzima lakini?
inabidi nije nikuoe sasa tuunganishe Undugu wa kampuniJamaani Baba Tecno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh. Ahsante sana.Me mzima Swahiba nipo napata lunch hapa kwa mtogole, karibu tujumuike
Hahahaaa. Kama mnywaji mwenzio hapo ni rahisi sana kuhama aiseee. ππππKaribu sana mnywaji mwenzangu