Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Sina team
Simba eeeh??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba eeeh??
Ndio ndio[emoji849] kumbe..
Uwarembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na mama la mama
Hajar
Mzigua90
Nifah
Thad
Numbisa
zeshchriss
Hao ni baadhi tu wengine jitokezeni tuweze kuwaandalia kadi za uwanacha
Hahahaha[emoji87][emoji87][emoji87]usiwatie kimavi mdau
Haha hata zile team nyumbu na mobetto??Sina team
Kivip mkuu?[emoji87][emoji87][emoji87]usiwatie kimavi mdau
Hahaha hapa naelekea hospital kupima pressure,, sio kwa msako ule aisee
Hahaha karibu jangwaniMweeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh! HayaHuyu katajwa hapo juu...View attachment 882456
Damu damuDemiss ni simba mkuu..
RangiKivip mkuu?
Kama sweetie wako tuDamu damu
Daah siwezi hata itokee nini.Hahaha karibu jangwani
Hao mikia achana nao banaDaah siwezi hata itokee nini.
Kama sweetie wako tu
Mubashara kabisaaDamu damu
[emoji23] [emoji23]Ambao hawajatajwa hapo ni masepuka?!
Mkuu tupatie jina lake huyu mwananchi mwenzetu Yanga lia liaHuyu katajwa hapo juu...View attachment 882456