Pipeline cuts fuel transport costs in fight with Tanzania

Kuna Mbuzi kama Mkuu wa wilaya Ileje wiki iliyopita amebomoa madaraja 16 kisa kuzuia magendo badala aweke TRA wakusanye kodi
Unajua kazi za mkuu wa wilaya? Au unaropoka ropoka tu? Mbona unakuwa mshamba kiasi hicho. Nani kakwambia mkuu wa wilaya anaweka TRA!!? Toa ushamba wako hapa.
 
Unajua kazi za mkuu wa wilaya? Au unaropoka ropoka tu? Mbona unakuwa mshamba kiasi hicho. Nani kakwambia mkuu wa wilaya anaweka TRA!!? Toa ushamba wako hapa.
Kazi yao ni nini hivi au Kufunga Bar kama yule wa Kinondoni, kule Ileje kwanini asimuige mwenzake wa Longido yuko pale NAMANGA anahakikisha TRA wanakusanya kodi
 
Wewe proof hapa acha kuropoka ropoka kama umemeza mkojo wa punda. Sisi tunaenda kwa facts wewe unaleta umbea. Umbea peleka kwenye jukwaa la umbea. Hapa ni facts. Sawa dogo mpumbavu!
Fact zipi zaidi ya TAZARA kushindwa kulipa wafanyakazi au ya Bandari kubaki na miundo mbinu ya Mkoloni, nchi inaendeshwa kama vile bado tuko kwenye vita baridi, Ni wakati wa kufanya Biashara sio kujipendekeza kwa majirani na ndio anachofanya Kenya
 
Wewe sasa ndo unajua unachokisema ..huu ndo ukweli ..biashara kwanza ..mengine ni baadaye
 
Kazi yao ni nini hivi au Kufunga Bar kama yule wa Kinondoni, kule Ileje kwanini asimuige mwenzake wa Longido yuko pale NAMANGA anahakikisha TRA wanakusanya kodi
Kwikwikwikwi wewe ni toto la mama!!. Linalilia ubwabwa.
 
Iyo nyi mboocha maana hujibu unakumbuka Ubwabwa ndio maana nchi ya misukule hii
Msukule wewe na ukoo wako. Wewe toto la mama umezoea kudekezwa. Wazazi wakikutoka utakuwa jambazi na utaishia kuchapwa risasi na kufa bila faida duniani. Heri ubadili tabia bado wazazi wapo.
 
Fact zipi zaidi ya TAZARA kushindwa kulipa wafanyakazi au ya Bandari kubaki na miundo mbinu ya Mkoloni, nchi inaendeshwa kama vile bado tuko kwenye vita baridi, Ni wakati wa kufanya Biashara sio kujipendekeza kwa majirani na ndio anachofanya Kenya
Rudi kwa mamako ukanyonye, akili matope zako hazikuruhusu kuchangia mada kama hizi.

TAZARA Profit Reach USD13.5m Thanks to Improved Freight Traffic

AUGUST 17, 2016

The Tanzania Zambia Railway Authority (TAZARA) earned USD13.5m profit in 2015–2016 thanks to improved freight traffic performance.

This was indicated in a press release issued by TAZARA on July 31 2016.

The annual freight traffic of the Tanzania-Zambia railway reached 130,000t in 2015–2016, from 87,000t in 2014–2015, representing an increase of 49%.

For 2016–2017, TAZARA plans to improve its cargo traffic by 200% in 2016–2017, reaching 381,000t, which will account for 8% of TAZARA’s designed capacity of 5m t.

Accordingly, the Tanzania-Zambia railway expects its profit to reach USD44.1m over the next financial year thanks to the planned improvements.

In July 2016, TAZARA signed an agreement with African Fossils Limited of Tanzania to transport 18m liters (18,000t) of petroleum products to the Democratic Republic of Congo (DRC) in the next one year.

The fuel order is the second import consignment to be secured within a month, following the transportation order for 48m liters (48,000t) of petroleum for Malawi, secured in the end of June 2016.

http://www.zambiainvest.com/transport/tazara-profit-2015-2016
 
Kuna Mbuzi kama Mkuu wa wilaya Ileje wiki iliyopita amebomoa madaraja 16 kisa kuzuia magendo badala aweke TRA wakusanye kodi

Usipodhibiti entry points.. itakuwa nchi gani baba?? Hata wewe umeweka geti nyumbani kwako ili kudhibiti aingiaye na atokaye. Umezuia siyo anaingia kwako kwa njia anayoiona yeye inafaa kila.
 
chizi,na ile 20inch pipeline baado.ikianza kusafirisha ndio baasi.
 
Hahaha sasa mada imekuwa Kinyume nyume!!
Ila mie naona safi
sasa wakenya Mambo yameanza kuwapindia hahaha
Wameanza kuonja moto
Najua sasahivi wanaiogopa Tanzania kama Ukoma!!
Wacha twende tu
mchezo huu hautaki hasira,
Vita ndio kwaanza imeanza
 
Hao wanagombezana ni kaka zako, hawaelewi nchi yenu wenyewe. Kuchanganyikiwa, sijui wewe pia umechanganyika hivyo???
Usiwe unakurupuka!!
Hao wanao jibizani hawanihusu
mimi naongelea mlivyo shusha bei kisa Tanzania!!
Naona mmechanganyikiwa
 
chizi,na ile 20inch pipeline baado.ikianza kusafirisha ndio baasi.
Chizi ukoo wako!! halafu endelea kujifurahisha wakati unapanga foleni na wenzio kusoma ninacho-post
 
wewe mkikuyu tuachie Tanzania yetu,kama haujui Malawi na Congo zinatusaidia nini kaaa kimya.
 
Annael,
Jamaa zetu wa Kenya kwa kusahau vurugu zao hawajambo na mwaka huu 2017 bado siku siyo zaidi ya 150 uchaguzi mkuu unafanyika Kenya na wafanyabishara wa Rwanda, Burundi, Uganda, Tanzania na Congo DRC hawajasahau hasara kubwa waliyopata mwaka 2007/ 2008 baada ya vurugu za uchaguzi mkuu Kenya.

Pay traders over post election chaos, EABC tells Kenya
The East African Business Council is putting pressure on Kenya to compensate Ugandans and Rwandan traders for the losses incurred during the post election violence between 2007 and 2008.

Twenty one Ugandan traders demand nearly $1.3 million for losses incurred at the height of the violence in Kenya. The total value of the losses incurred by Rwandese traders is yet to be revealed.

Property worth millions was destroyed during the post election violence. Former Electoral Commission of Kenya chairman Samuel Kivuitu says fighting would still have erupted no matter how he handled the 2007 elections.
source:Pay traders over chaos, EABC tells Kenya
 
Hizo ulizo sikia ni hadithi za kitaa... hakuna ukweli wowote?? Wewe hukusikia ya kuwa tz ndiyo inayoongoza kwa vizuizi barabarani.
Nilimjibu kihivyo zaidii Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…