Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow
Leo nimefika shop kununua pipi kifua kifua kidogo kinanisumbua so nikasema ngoja nipate pipi kifua, nikatoa jero ili nipate kumi naambia moja 100 sio 50 duh nikauliza kwanzia lini wakasema mbona ndio bei yake
Kwani pipi kifua zina matumizi mengine ambayo mm siyajui up zinapanda bei kienyeji ivyo?