Pipi kijiti ni starehe katili ya wanaume dhidi ya wanawake

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,385
Ndugu salaam

Sisi wanaume tumekua tukiwapa wanawake pipi kijiti (lolipop) kama njia ya kuridhika na ombi lao la kusamahewa ili hali tunajua kabisa ni starehe ovu na ya kikatili dhidi ya wanawake.

Japo wengine wanawadangañya wadada kula pipi kijiti ni njia moja wapo ya kuonyesha mapenzi ya dhati na kulinda mahusiano kumbe sivyo.

Wanaume wengi sana wanacheza na udhaifu wa wanawake ili tuu kujistarehesha nafsi zao kwa ubinafsi wa mioyo yao ili hali pipi zinatumika kila mahali.

Nb. Sisi wanaume ni wakatili sana
 

Attachments

  • Screenshot_20250902-104603.jpg
    93.5 KB · Views: 60
Yaani hapo ni pipi kijiti tu inakutoa nafsi mazee, je ukija kupakwa asali mwili mzima alafu ikaanza kulambwa hadi iishe, sindio utaenda kumpeleka dada wa watu dawati kabisa...teh😜
 
Ulitaka upewe wewe hiyo pipi mkuu?

Punguza wivu kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…