Pipi ya Diamond Platnumz imekwisha utamu in Nairobi

sikuplan kuchangia ila imebidi nichangie!!!

kwani ana mkataba nao kwamba kila mwaka atakwenda yeye na pale atakaposhuka asiende??
hebu acheni mawazo mgando!!

na nyie mnaoona kuwa kila anayekwenda against na ndomo basi ni team kiba mnakosea sana, inamaana huyo dai hapendwi na team kiba tu?? mbona wapo wanaowapenda wote? na wengine humu uanzisha uzi tu ilimradi kuwapima tu mawazo ili waone wht ll be the reaction of the teams, they hv nothing to loose.
 

Huo ndo ukweli,watu wasiompenda Diamond wote wamejikuta wanamsapoti Kiba hata kama walikuwa hawapendi mziki wake
 

Mungu ibariki Tanzania
 
Huo ndo ukweli,watu wasiompenda Diamond wote wamejikuta wanamsapoti Kiba hata kama walikuwa hawapendi mziki wake

how sure you are abt that??? mie kuna mfanyakazi mwenzangu hawapendi wote wawili hataki hata kuwasikia, sasa huyo nae akiongea negative abt mond mtasema ni team kiba!!! Hayo ni mawazo ya kuhisi tu na sio sahihi kugeneralize mambo bila kuwa na uhakika.
 
Me nampa big up Diamond coz vimaneno maneno ya watu huwa anayapuuza tu!! So fanyeni yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…