Pishi la mchanganyiko wa Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia

Pishi la mchanganyiko wa Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia

mwe, ugali unamboga zake! nahii ikiwemo. asante
 
Hili kweli pishi jipya sijasikiapo dagaa la nazi...Ahsante mleta uzi!

Hata mm ila linavutia kwa ugali

Mie hupenda haswa kulipika tena likolee nazi shatashata, halafu mie hupenda ndimu niizidishe kidoogo....acha weeee na ugali pembeni hakyanani navimbiwa! Hili pishi nililiona kwa bibi yangu kwa mara ya kwanza.nilikuwa nimezoea dagaa wa mhuzi wa kukaanga tu bila nazi.ila, nilipojaribu kupika ilinifanya nisiwe na pika tena bila nazi
 
Hakuna kitu nakulaga kumsupport mpishi kama nyanya chungu...nazichukiaaaaaa
 
Apo kwa ugali weee utamu wake balaa
Farkhina dharula! Nahitaji ujuzi wa kupika chaza/kome wa nazi asap nataka ku jipendekeza kwa wife kuwa nami ni mtundu jikoni leo anarudi safari!
Please recipe and Jinsi ya haraka iwezekanavyo
 
Back
Top Bottom