Hili kweli pishi jipya sijasikiapo dagaa la nazi...Ahsante mleta uzi!
Hata mm ila linavutia kwa ugali
Mi mwenyewe sizipendiHakuna kitu nakulaga kumsupport mpishi kama nyanya chungu...nazichukiaaaaaa
Mapishi yetu kweli niatam, asante valentinaPishi la mwanaume tam sana...
we tungeishi pamoja ingekuwa bomba maana ningekuwa nina uhakika zisingekuja mezani hata siku moja...Mi mwenyewe sizipendi
Farkhina dharula! Nahitaji ujuzi wa kupika chaza/kome wa nazi asap nataka ku jipendekeza kwa wife kuwa nami ni mtundu jikoni leo anarudi safari!Apo kwa ugali weee utamu wake balaa