Pisi kal humu hamna!

Pisi kal humu hamna!

We achana na vitimbi vya members flan wa humu wanojifanya experts, humu ndani wanaume ni 99.3% nadhani utaona she ni wangapi, hizo id za kike nyingi ni za member wa kiume wanaotaka kujipatia kipato kwa namna ya pili, humu wanawake real sidhani hata 10 wanafika, hayo majina ya kina #miss natafuta, sijui #lady mariamu, sjui #cacute ni ma men😂😂😂
 
Ushapigwa za uso huko pm, bc povu la omo ni jingi kwenye beseni 😂
 
Back
Top Bottom