Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Haahaaa mambo hayako hivo.Jamani kweli uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu, yaani unakuta mwanaume mwenzio ana mchuchu mkali yaani pisi kali ile mbaya laa ajabu anamnyanyasa ile mbaya.
Dah! Alafu mchuchu unamtokea anakwambia nina mtu eti nmechelewa.
Sasa kwa mateso yote anamtu ana futu.
Dah! Sio poa kabisa, jamani tuache utemi mbuzi tuwatunze wanawake zetu aisee, hata kama ni malaya, unapaswa kuheshimu mtu akupaye usingizi na kulea ndoto zako na watoto wako.View attachment 2473911
Kuna pisi ilishawahi pigwa sawa sawa na jamaa wake mshikaji wangu akaitokea, siku za kwanza kwanza ikawa imemkubali baadae ikamchana jamaa ikamwambia inarudi kwa jamaa alomtema mwanzk
Cha kushangaza huyo dem akaweka status jioni hio, ni picha kuna convo ya mama na katoto. Mama anakauliza katoto "How do u know you are in love?" Katoto kanajibu "It's when you are hurt but still want to stay"
Ndo nikamwambia mshikaji wangu afute namba kabisa za huyo dem coz akiendelea koforce atakua ni mtu wa kutibu maswaiba ya mwanaume mwenzie.
Haya mambo hayamove hivo chief, hayana formula, ukimtokea utapigwa na kitu hutakaa usahau. Ni kuna jamaa tu wana bahati za kupendwa na hawa pisi no matter wanawatesa kiasi gn