Pisi kali za mtaani kwetu zimenishinda zinataka cent, vipi za mtaani kwenu?


Ukiacha kuvaaa sendo na sox na vile vipensi vya njano,ndio uanze kuwa na mademu kwa sasa Tuachie sisi tunaopunwa tujilie vyetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee unataka vitu vizr na hutaki kugaramika?
 
Hata huku kwetu ni hivyo hivyo, wanawake sijui wakoje aseee
 
Nimegundua bado unautoto mwingi sana,kazania masomo yako mengine utayakuta tu
 
Aarrggh mada zilezile!!!,
1. Agenda zimeisha
2. Ubunifu wa agenda umefikia kikomo
3. Maisha ni yaleyale, hakuna vitu vipya
4. Hela hakuna mtaani, kila siku ni kama jana.. Kila unayekutana naye kila siku hali ya kifedha ni ngumu
5. Vijana tu wanapenda kulalamika
6. Mabinti tu wanapenda kuomba pesa

Me ningeomba mleta mada anirushie kanamba kadogo ka huyo mmoja muomba pesa
 
Mkuu ili kuonesh yye c muumin wa hay mambo tungemuomba atubadlishie avatar yake kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…