Pisi kali za mtaani kwetu zimenishinda zinataka cent, vipi za mtaani kwenu?

Mkuu kama upo Dar karibu wote ni wamachinga wanauza mbususu tu hamna mapenzi ni stress tupu hamna mapenzi ukiwa na genye tafuta mmoja chapa futa namba endelea na mishe zako katafute mke mkoani weka ndani basi.
 
Dah! kwel mkuu nakubaliana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwetu zinataka kobheli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…