Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! kwel mkuu nakubaliana na weweMkuu kama upo Dar karibu wote ni wamachinga wanauza mbususu tu hamna mapenzi ni stress tupu hamna mapenzi ukiwa na genye tafuta mmoja chapa futa namba endelea na mishe zako katafute mke mkoani weka ndani basi.
Kwetu zinataka kobheliHabari zenu mabroh, masista, mashangazi, mabibi, mababu wanajamii forum wote kwa ujumla.
Moja kwa moja ktk mada. Nimejaribu sana kuwa na maneno matamu na yenye mvuto kwa dada zetu lkn hatimae wanahitaj cent, nimewacklizisha sana ngoma za mboso na shaarukhan lkn mwish wa cku break up.
Chaajab na kinachoshangaza bad wanaish nyumban (kwa baba na mama) me unaniomba cent nilioipambania mchana kutwa we ya nini? Ukzngatia unalishwa unavishwa.
Utaskia oh hela ya pedi, cjui naomba zawad.
Duh! nmeamin sabab za umaskin pia ktk nchi yet pisi kali znahusika
Vp wakuu pande zenu vlevle wa moto au wamepoa, kama wamepoa kdg ck mojamoja tubadil upepo View attachment 1842457
View attachment 1842439