Machingafx
Senior Member
- Sep 25, 2026
- 139
- 187
Pisi Kali inakuwaje tena mbaya mkuu? Hapo umeshasema ni kali, lakini unakanusha tena.eti kuna jamaa mmoja anasema kua pisi kali za umu JF ni mbaya...
Pisi Kali inakuwaje tena mbaya mkuu? Hapo umeshasema ni kali, lakini unakanusha tena.
Mimi nimebaki tu kukuna kichwa.
Pisi kali bila YESU ni ubatili mtupu!!!
Haya bwana!Pisiz kali nazo zinaweza kua mbaya mzeeπππ