Kidimbwi ndo wapi
Mbezi beach ya chini karibu na clouds plus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidimbwi ndo wapi
Zipo mbili nakaa nazo hapa ghetto tunaingia 2nd year. Kuna nyingine mbili zinakuja kuwapa kampani zinaungana na kuwa mtu nne kila weekend Kidimbwi. Sidhani kama ziliwahi kula bata sehemu tofauti ila leo hazijaenda zilikuwepo jana.
Nyinyi ndo mnazileta siku nyingine saa 10 alfajiri na hizo Brevis zenu wakati huwa zinaondoka na Bolt.
Hiyo bichi kidimbwi IPO wapi? Hii nchi kubwa sana
Bila picha hujasema chochote.
Nyingi zinakua class or room zinajisomea
Sikujui huko kidimbwi ndio wapi wakuu nakashuhudie uumbaji wa Mola
Insta nawafollow lkn naona wanapost pisi za kawaida sanaPicha nenda insta tajir
Hawezi kuwa serious kabisaaaaa.Yaani utafute pesa kwa ajili ya kupata MA_LA_YA wa kidimbwi?
Insta nawafollow lkn naona wanapost pisi za kawaida sana
Hawezi kuwa serious kabisaaaaa.
Huwa sikai hostel uko sijui kinachoendelea. Ila zinaenda pisi kali sio kina Mwamvuawatu wenye Brevis na Noah wanaongoza kurudisha na kufuata vitoto hostel
Ahaa sawaPisi kali haziwez kubali uza sura insta
Inasikitisha sana Mkuu.Hawezi kuwa serious kabisaaaaa.
Kwahiyo ni sawa kumshauri mtu atafute pesa sana ili aje anywe Pombe?Kila mtu na starehe yake, kuna mwingine madem mwingine pombe nk
Sawa hizo starehe zipo na sio kwamba sisi hatufanyi lakini kuhamasisha mtu eti atafute hela ili aje kufaidi malaya ni uwaki.Kila mtu na starehe yake, kuna mwingine madem mwingine pombe nk
Kwahiyo ni sawa kumshauri mtu atafute pesa sana ili aje anywe Pombe?
Sawa hizo starehe zipo na siku kuwa sisi hatufanyi lakini kuhamasisha mtu eti atafute hela ili aje kufaidi malaya ni uwaki.