Pisi za kidimbwi zinakuwaga wapi mchana?

Pisi za kidimbwi zinakuwaga wapi mchana?

Bila picha hujasema chochote.
Hapa sehemu ni balaa washikaji.....
20201116_105110.jpg
20201116_104939.jpg
20201116_105013.jpg
20201116_104921.jpg
20201116_105038.jpg
20201116_104901.jpg
 
Katika kumalizia weeknd leo mapema sana nimeingia kidimbwi beach kurefresh kujiandaa na mikiki ya kesho. Kadiri muda unavokwenda pisi zinazoingis ni hatari pisi kali sana, hivi hzii pisi zinakuwaga wapi? Mbona mchana sikutani nazo mtaani?

Au ndo zinakuwa zimelala sahv ndo zinaamka? Aisee ni shidaa wajumbe tutafute pesa[emoji1316]. Mungu ibariki Tz.
Kwa hiyo mapisi mmekutana kidimbwi weka picha ya mchobwada tuuone kwanza
 
Wanatokea mitaa tunayoishi na mchana wana mishe nyingine.
Wengi tupo nao mitaani na wanajulikana, waache wavunje mifupa kama meno ipo.
 
Back
Top Bottom