Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
- #81
ngoja nikishauza mahindi huku mbinga kwetu ruvuma nitakuja dalisalama vijana mnionyeshe mzee wenu bichi kidimbwi
Hakikisha una kama 5million ili ule bata vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nikishauza mahindi huku mbinga kwetu ruvuma nitakuja dalisalama vijana mnionyeshe mzee wenu bichi kidimbwi
Hahahaaa, duh, kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake....Mmaeeeweeeee 200k unapiga gori ka za Basketball au?!? Ndo maana vijana mnapaka mkongo. Hela inauma nyie¡! Huku Tandika ni buku mpaka buku 3 mwishoo
Kujitafutia laana tuHawezi kuwa serious kabisaaaaa.
Sasa tutafute pesa muda wa kwenda Kidimbwi tutaupata saa ngapi ? Au unamaanisha kazi na dawa ?Katika kumalizia weeknd leo mapema sana nimeingia kidimbwi beach kurefresh kujiandaa na mikiki ya kesho. Kadiri muda unavokwenda pisi zinaingia ni hatari pisi kali sana, hivi hzii pisi zinakuwaga wapi? Mbona mchana sikutani nazo mtaani?
Au ndo zinakuwa zimelala sahv ndo zinaamka? Aisee ni shidaa wajumbe tutafute pesa[emoji1316]. Mungu ibariki Tz.
Inaonekana kuna mengi unayajuaHizi pisi kwa mchana muda mwingi zinakuwa ndani ni mwendo wa kuchat tuu na madanga waliowanasa kidimbwi usiku.
Pia mchana ni muda wa kutoa huduma.
Ni mwendo wa toka mlangoni ndani ya ndinga.
Hizi pisi bei zao wengi ni kuanzia laki.
Kiukweli ni warembo balaa.
Wengi hawana muda na kitu inaitwa ndoa. Ukitaka matusi jaribu utakionaa.
Wengi wana urafiki na mashoga.
😁😁😁😁mkuu ukiwa mla bata rahisi kukutana na hawa viumbe.Inaonekana kuna mengi unayajua
🤣Kidimbwi location ilipo... ni center ya watoto wazuri na watumiaji wa pesa.. majirani tu wa kidimbwi wote wana hela.. na wenye hela huwa wanazaa warembo mara nyingi maana wanazaa na wanawake wazuri