min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mkuu tulia hao unao waona watoto apo moshi ndio hiyo mizoga yenyewe.Kwanini wanachuo mkuu?hao si ni watoto watu wapo hapo kwa ajili ya kujisomea sasa mbona ukawasumbue tena?
Nenda sehemu special wanakojipanga okota mzoga acha watoto watu.