Wengi wenu mmekosa ukakamavu na skendo za kutatuliwa marinda zinawaandama na kulambalamba lips ovyoWadau hasa nyie mnaokaa uswahilini,hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao…Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa,hivi tatizo ni nn?
Mkuu kwani wee ni mtoto wa kishua?Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini,hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao…Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa,hivi tatizo ni nn?
mh! Bro usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu wngnWadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao.
Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa, hivi tatizo ni nini?
Eti wa kishua, halafu anaishi uswahilini!!!Mkuu kwani wee ni mtoto wa kishua?
Mkuu watoto wa kishua hata JF hawaijui mkuu..Eti wa kishua, halafu anaishi uswahilini!!!
Sure broo jifunzeni mikazo mmetepeta mnoJiheshimu
Sawadakta, yaan mwanaume hauna hekaheka hapana,tunataka kusikia leo mwajuma akakufata kijiwen sijui aisha mlikuwa nae kwenye shughuli yaana ni heka heka mwanzo meisho[emoji23][emoji23]Waushuani mnaletaga mapenzi na kujifanya mnajua kupenda sana,hao watoto waushuani wanataka bilinge,yani kukimbizana,kupigana,zele heka heka mara upo na mwajuma,kisha aisha,kesho fatuma wao wanapenda mwanaume wa hivyo sio mwanaume umepooa unaleta romace tu.
Pia usisahau kuwapelekea zawadi kama vijora.
HahaaaaaWengi wenu mmekosa ukakamavu na skendo za kutatuliwa marinda zinawaandama na kulambalamba lips ovyo
Kwa hio humu JF sisi sote ni wauswahilini ?Eti wa kishua, halafu anaishi uswahilini!!!