Pisi za uswahilini

Pisi za uswahilini

Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao.

Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa, hivi tatizo ni nini?
Inategemea na unavyojiweka.

Pengine wanaogopa kukuingia.
 
Waushuani mnaletaga mapenzi na kujifanya mnajua kupenda sana,hao watoto waushuani wanataka bilinge,yani kukimbizana,kupigana,zele heka heka mara upo na mwajuma,kisha aisha,kesho fatuma wao wanapenda mwanaume wa hivyo sio mwanaume umepooa unaleta romace tu.

Pia usisahau kuwapelekea zawadi kama vijora.
Nacheka mbavu cna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawadakta, yaan mwanaume hauna hekaheka hapana,tunataka kusikia leo mwajuma akakufata kijiwen sijui aisha mlikuwa nae kwenye shughuli yaana ni heka heka mwanzo meisho[emoji23][emoji23]
Ndo maana ake, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa makini acha watembee na wanaume wanaoendana nao usije kujuta
 
I wonder umesema mtoto wa KISHUA lakini watu wanamind hawakubali kama wewe ni wa kishua wakati hawakujui[emoji23][emoji23]….haya makasiriko yanatokea wapi?? Kwani mtu akiwa wakishua ni dhambi au haiwezekani??
 
Mkuu watoto wa kishua hata JF hawaijui mkuu..

Humu kuna watoto wa kubadilisha meals tu mkuu.

I wonder umesema mtoto wa KISHUA lakini watu wanamind hawakubali kama wewe ni wa kishua wakati hawakujui[emoji23][emoji23]….haya makasiriko yanatokea wapi?? Kwani mtu akiwa wakishua ni dhambi au haiwezekani??
 
Una mda gani hapo kitaa..?
Maana hao huwa wanakulana kimazoea.
 
Sawadakta, yaan mwanaume hauna hekaheka hapana,tunataka kusikia leo mwajuma akakufata kijiwen sijui aisha mlikuwa nae kwenye shughuli yaana ni heka heka mwanzo meisho emoji23][emoji23]
Kwaio unamaanisha wanawake hawataka mapenzi ya dhati??
 
Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao.

Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa, hivi tatizo ni nini?
Dogo tafta kaz ya kufanya
 
I wonder umesema mtoto wa KISHUA lakini watu wanamind hawakubali kama wewe ni wa kishua wakati hawakujui[emoji23][emoji23]….haya makasiriko yanatokea wapi?? Kwani mtu akiwa wakishua ni dhambi au haiwezekani??
poa wa wakishua
 
Nyie ni rainbow. Ni wadada tu. Hiyo kazi ya kukuziba tobo binti wa uswazi haitaki[emoji15]
 
Back
Top Bottom