Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu kwani wee ni mtoto wa kishua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu kwani wee ni mtoto wa kishua?
Inategemea na unavyojiweka.Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao.
Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa, hivi tatizo ni nini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We huna vidredi uchwara alafu huwezi kula kucha za kuku mkalala
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waulize hao wanaume zao wamepigaje hapoo?...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wenu mmekosa ukakamavu na skendo za kutatuliwa marinda zinawaandama na kulambalamba lips ovyo
Nacheka mbavu cna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waushuani mnaletaga mapenzi na kujifanya mnajua kupenda sana,hao watoto waushuani wanataka bilinge,yani kukimbizana,kupigana,zele heka heka mara upo na mwajuma,kisha aisha,kesho fatuma wao wanapenda mwanaume wa hivyo sio mwanaume umepooa unaleta romace tu.
Pia usisahau kuwapelekea zawadi kama vijora.
Ndo maana ake, [emoji23][emoji23][emoji23]Sawadakta, yaan mwanaume hauna hekaheka hapana,tunataka kusikia leo mwajuma akakufata kijiwen sijui aisha mlikuwa nae kwenye shughuli yaana ni heka heka mwanzo meisho[emoji23][emoji23]
Mkuu watoto wa kishua hata JF hawaijui mkuu..
Humu kuna watoto wa kubadilisha meals tu mkuu.
Kwaio unamaanisha wanawake hawataka mapenzi ya dhati??Sawadakta, yaan mwanaume hauna hekaheka hapana,tunataka kusikia leo mwajuma akakufata kijiwen sijui aisha mlikuwa nae kwenye shughuli yaana ni heka heka mwanzo meisho emoji23][emoji23]
Dogo tafta kaz ya kufanyaWadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao.
Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa, hivi tatizo ni nini?
Usinambie...kwaio tukiwa tunachepuka ndo mnapenda sio??Ndo maana ake, [emoji23][emoji23][emoji23]
poa wa wakishuaI wonder umesema mtoto wa KISHUA lakini watu wanamind hawakubali kama wewe ni wa kishua wakati hawakujui[emoji23][emoji23]….haya makasiriko yanatokea wapi?? Kwani mtu akiwa wakishua ni dhambi au haiwezekani??
Haswaaa, heka heka na mbilinge ndo tunapendaa.Usinambie...kwaio tukiwa tunachepuka ndo mnapenda sio??
Very confusing
Haka kamsemo kako nakapenda sana cjui kwa nini....mh! Bro usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu wngn