Pisi za uswahilini

Sawadakta, yaan mwanaume hauna hekaheka hapana,tunataka kusikia leo mwajuma akakufata kijiwen sijui aisha mlikuwa nae kwenye shughuli yaana ni heka heka mwanzo meisho[emoji23][emoji23]
Nakuja
 
Hahahaha, we utakua unatoka masaki au obey kisha unakuja maandazi road huku, 😂😂 ,mademu wa uswazi siku hz hawashoboki na wa kishua

Nb : madogo wa boda boda wana walinda na buku buku,chips yai
 
Nyie hamueleweki mnaringa sana .

Jielewe ,funguka sasa mtu anakupenda unakuwa kama mtoto mtoto basi yaishe yaishe naninataka shoo ?? Unakuwa kama demu unakatakata mara unablock mtu eti yaishe kwani wewe wanaume wengine huwaoni
Mmmmm wewe
 
Vijora hasa kipindi cha birthday zao zile, pia usikose hela ya kukata keki usikose, utawala sana
 

"sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao"

Ukishakuwa na taarifa kwamba unaishi ushuani, wewe ni mswahili, huwa hawasemi hayo, ndo maana wanakuona wewe ni kenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…