Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

Lazima utazituma tu. Kwasababu now uko possessed. So unaweza kujikuta umewatumia na usijue umewatumiaje.

Nakumbuka kuna siku , picha ya dem ilikua ikizunguka akilini mwangu sana....nikajikuta nimemtumia kiwango kikubwa sana cha pesa , yani mpaka leo sijuagi niliitumatuma vipi ile hela!

#KundaliniSpirit
Unatuma hela bila ya kuombwa
1677355381505.jpg
 
Yaani wakianza kuomba hela, wanaimba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
Uzinzi
Ndoa
Pombe

Ukijiingiza katika haya mambo matatu Fahamu unakuwa msukule wa watu wengine
 
Back
Top Bottom