Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Ni kitu gani cha tofauti unapata kutoka kwao zaidi ya kutoa mkojo mzito?Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.
Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
Nini tofauti yao?