Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

Mungu hafungwi na mda wa dunia hii.. so kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa.. Yesu aliwapa watu kazi shambani, ila alie anza na alie kuja mwisho wote aliwapa ujira sawa
Mkuu usipotoshe bhan yesu hakuwapa watu kazi shambano bhna alichokifanya Ni kutoa mfano wa tajiri aliye wapa kazi shambni kwakwe na siyo yesu alifanya hvyo plz usipotoshe mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Extrovert hapo ujue sio pisi ya kutoka sana., Haibabaishwi na pesa pia.

Mwaka huu nilipo hamia nakutana pisi ambazo hazina shida kiasi kwamba Mimi ndio nakuwa na shida nazo.
 
Lazima utazituma tu. Kwasababu now uko possessed. So unaweza kujikuta umewatumia na usijue umewatumiaje.

Nakumbuka kuna siku , picha ya dem ilikua ikizunguka akilini mwangu sana....nikajikuta nimemtumia kiwango kikubwa sana cha pesa , yani mpaka leo sijuagi niliitumatuma vipi ile hela!

#KundaliniSpirit
😂😂😂😂😂😂
 
Pambana mkuu maana kula mbususu moja inaonekana ni mtihani kwako na wengi wetu kiujumla.
 
Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
Sawa
 
Back
Top Bottom