Pistorius could face 25 years to life in prison if convicted of premeditated murder today

Pistorius could face 25 years to life in prison if convicted of premeditated murder today

Breaking News

Judge Masipa has said that Oscar Pistorius was not guilty of murder.

Ngoma bado haijaisha, ila ame dodge a bullet, amshukuru mungu. Bado lakini anaweza kutandikwa miaka kadhaa, sasa hivi imebaki discretion ya judge. Anaweza akamtandika na ' wee ka white dude, to hell ubaguzi wa rangi, I am black from Soweto take that'.
 
BxP0LYNIYAA8ekO.jpg
 
Anaejua ukweli ni Yeye na Mungu na marehemu. Yeye hawezi sema ukweli maana atafungwa, marehemu mmmmmh
 
Kwani aliua au hakuua?

Kuua au kutokuua si tiketi ya kutoa hukumu pasipo kutazama ushahidi mzima na lengo la mtuhumiwa...

Kwa kesi ya Oscar ni kwamba anashitakiwa kwa kosa la mauaji, lakini je sheria inamtia hatiani?

Hilo wewe na mimi hatujui, na ndio maana leo watu wamekusanyika kufuatilia hukumu yake...
 
Naona Bi. Mkubwa jaji kaahirisha kesi hii hadi kesho asubuhi kwa masaa ya Afrika Kusini...
 
Huyu Bi. Mkubwa mbona kaacha watu wananing'inia? Mpaka kesho. Alipofika mbona kama alikuwa anampa manslaughter hivi? Hiya ngoja tuendelee kuning'inia.
 
Pistrous sasa ni dhahiri ataingia kwenye culpable homicide....na akipatikana Na hatia anaweza kutumikia mpaka miaka 15 jela....ingawa kwenye suala la murder kachomoa
 
He is not guilty of first or second degree murder but I think they'll get him on the culpable homicide charge.

Ulitabiri vizuri mkuu, na ndivyo ambavyo kakutwa na hatia hiyo kwa mujibu wa jaji...kesi bado inaendelea na sasa inaangaliwa kama anaweza kuwa bailed...

Ni malumbano ya vifungu vya sheria sasa vinaendelea...
 
Naifuatilia mkuu
 
Pistrous sasa ni dhahiri ataingia kwenye culpable homicide....na akipatikana Na hatia anaweza kutumikia mpaka miaka 15 jela....ingawa kwenye suala la murder kachomoa

.......
Kuuwa bila kukusudia!
 
Back
Top Bottom