barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Breaking News
Judge Masipa has said that Oscar Pistorius was not guilty of murder.
safi sana mkuu ngoja nikodolee mijichoIngia hapo mkuu, kuna hadi video ya kavereji ya Laivu.
Video: Watch live: Oscar Pistorius murder trial verdict - Telegraph
Kwani aliua au hakuua?
He is not guilty of first or second degree murder but I think they'll get him on the culpable homicide charge.
Naifuatilia mkuuUlitabiri vizuri mkuu, na ndivyo ambavyo kakutwa na hatia hiyo kwa mujibu wa jaji...kesi bado inaendelea na sasa inaangaliwa kama anaweza kuwa bailed...
Ni malumbano ya vifungu vya sheria sasa vinaendelea...
Naifuatilia mkuu
Pistrous sasa ni dhahiri ataingia kwenye culpable homicide....na akipatikana Na hatia anaweza kutumikia mpaka miaka 15 jela....ingawa kwenye suala la murder kachomoa