Mkuu kutoka Mbeya mpaka kampala inaweza kuni gharimu shiling ngap? Naenda kucheck fursa na kugeuka
tatizo usawa wa anko magu sio ....tra wanabana sana pale+naul go and return 200000+hotel hapo bado mzigo ila ukiwa na 2 or 3 milions unapiga hela...japo raha ya uganda uende na kuanzia million 3 kwenda mbele ndio utapiga faida.....
I wish ningempaga mtu anaeishi huko nikafanya nae biashara. Lakini now days uaminifu 0Mambo ya Kampala
Usijaribu kuamini mtu tofauti na mama yako dear. Fanya hivi, nenda Kampala, onana na mmiliki wa garment ya nguo, fanya nae biashara, mpeleke linapopaki basi unalotumia, then anza kununua kwa kutuma pesa na yeye anakupelekea mzingo kwenye basi. Mpesa Uganda inafanya kazi kama kawaida na yeye atachange pesa to Uganda shillings, muhimu ufahamu rate exchange iliyopo kwa siku hiyoI wish ningempaga mtu anaeishi huko nikafanya nae biashara. Lakini now days uaminifu 0
Hapo suala la ushuru bado Hapo bodaUsijaribu kuamini mtu tofauti na mama yako dear. Fanya hivi, nenda Kampala, onana na mmiliki wa garment ya nguo, fanya nae biashara, mpeleke linapopaki basi unalotumia, then anza kununua kwa kutuma pesa na yeye anakupelekea mzingo kwenye basi. Mpesa Uganda inafanya kazi kama kawaida na yeye atachange pesa to Uganda shillings, muhimu ufahamu rate exchange iliyopo kwa siku hiyo
Hilo lisikupe shida, kazi ipo kwenye kuvusha vipodoziHapo suala la ushuru bado Hapo boda
Nguo hazina shida?Hilo lisikupe shida, kazi ipo kwenye kuvusha vipodozi
Hazina nouma kabisa, ukikutana na wazoefu huwa wanazikunja na kuonekana kama gazetiNguo hazina shida?
Loh!! Na bei zao zikoje ukilinganisha na ela za madafu?Hazina nouma kabisa, ukikutana na wazoefu huwa wanazikunja na kuonekana kama gazeti
Pesa yetu iko juu kuliko ya Waganda japo kwa sasa sipo maeneo hayo but anayenifuatia mzigo ananipa daily updatesLoh!! Na bei zao zikoje ukilinganisha na ela za madafu?
OK..ambapo exchange rate ya pesa yetu na ya kwao ikoje?Pesa yetu iko juu kuliko ya Waganda japo kwa sasa sipo maeneo hayo but anayenifuatia mzigo ananipa daily updates
kuna haja ya passport kwenda UG ukitokea Tanzania?Huko naskia ni balaa... Eti dar haikamati hata kidogo kwenye biashara..kuna mtu nilikua namshangaa anatoka dar kwenda kuchkua mzigo kampala...yeye ndo akanishangaa zaid..ipo cku ntaenda kujionea... Naskia hawana mabidhaa feki kama bongo..halafu fashion mpya znaanzia kule eti
1Tsh=1.56UshOK..ambapo exchange rate ya pesa yetu na ya kwao ikoje?
Ndiyo, chukua ya mwaka mmoja (10,000/=)kuna haja ya passport kwenda UG ukitokea Tanzania?
Mambo ya Kampala