Yap! Yap! i will keep you posted once i'm fully and well prepared.Mkuu ukiwa tayari nitafute mkuu, itakuwa vizuri kama tukawa pamoja kwani hata mimi siku zote najua Kampala itanitoa nikikomaa nayo kibiashara
[emoji1] [emoji1] [emoji1] noma mi niliwahi kwenda nikiingia Club Ambiance ilikuwa shida nikakimbia kwani ningekula nauliYap! Yap! i will keep you posted once i'm fully and well prepared.
Ila nasikia kuna watoto warefu mithili ya twiga tena wana ngozi mororo halisi ya kiafrika!!!
Hapa "mpango wa kando" utahusu japo mdogo mdogo sitazama mazima ka Mondi kwa mtoto zarina!!!
Mkuu kuhusu spare kweli zipo za kumwaga kwani huwa nasikia qakizungumzia hilo, unajua ni vizuri ukafunga safari au ukampata mzoefu wa spare ukajua maduka, ushuru wa mpakani etc.Mkuu, nataka kujua biashara ya Spare Used za Magari, nasikia Uganda zipo bei chini sana,. Nasikia wananunua magari mengi used, na kuyakatakaya...naomba mrejesho
Nashukuru mkuu, nitafanya hivyo...Mkuu kuhusu spare kweli zipo za kumwaga kwani huwa nasikia qakizungumzia hilo, unajua ni vizuri ukafunga safari au ukampata mzoefu wa spare ukajua maduka, ushuru wa mpakani etc.
Mkuu usisahau pia kuhusu nafaka haswa mchele.Poa mkuu, tena utakuwa ni mrejesho ukiwa na picha za kutosha
Uko sawa kuna jamaa alikuwa na bidhaa hizo tulikamatwa siku moja Muleba tukitokea Kampala, aliniambia zinamlipa sana na ana wateja wengi sana Arusha.Mkuu, nataka kujua biashara ya Spare Used za Magari, nasikia Uganda zipo bei chini sana,. Nasikia wananunua magari mengi used, na kuyakatakaya...naomba mrejesho
Mkuu, inabidi niende nifuatilie, nashukuru sanaUko sawa kuna jamaa alikuwa na bidhaa hizo tulikamatwa siku moja Muleba tukitokea Kampala, aliniambia zinamlipa sana na ana wateja wengi sana Arusha.
Mzigo wa milioni moja unapigwa ushuru ngapi?Unapeleka au unanunua huko kuleta Bukoba? Kama unafuata huko wala usisubiri, nenda tu bei ni nafuu sana. Miezi miwili imepita nilipata safari ya kuja Tz kuangalia familia yangu na kibiashara changu then nikaenda Kampala kununua nguo, tatizo kwa sasa kuna ushuru wa kukomoana kwa TRA. Unalipia Mtukula na TRA Kyaka zote nchi moja.. Pia hapo Bukoba kuna wafanyabiashara wengi sana wananunua nguo Kampala lakini wengi wanakuja kuuza kwa jumla soko la Mtukula
Huyo jamaa ni mmoja ya watanzania wachache waliobakia na roho za utu.!Kungepatikana watu 1000 wanaoweza kushauri mtu kwa roho nyeupe kama wewe hasa kwenye swala la biashara WATANZANIA TUNGEFIKA MBALI KWELI!
Watu wenye roho za hivi ndo mlikuwa mnafaa hata kupewa uongozi hata kutawala nchi kwani unaonyesha kuwajali watu lakn tatizo nchi yetu kupata uongozi mpaka uwe na roho mbaya..![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nimekuzwa hivyo hasa baada ya kutokea familia maskini mkuu
TRA ya Mtukula wanakuambia mzigo wa milioni moja unatakiwa ulipie laki tano. Hivyo unatakiwa udaganye kuwa umenunua kwa shilingi 180,000/=. Kwa kifupi nchi yetu haijawa tayari kumpa uhuru wa kibiashara Mtanzania mwenye mtaji mdogo kununua bidhaa nje ya nchi.Mzigo wa milioni moja unapigwa ushuru ngapi?