Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Biz za Uganda especially kwa mji wa Kampala kwa mtu ambae ndio anaanza biashara na ana malengo nayo kama akikomaa lazima itamtoa....Nimedeal sana na huo mji japo sasa hivi nipo ligi kubwa China,Turkey na Dubai lakini sitoisahau Kampala hasa kuna club moja ipo Pioneer Mall hiyo ilitafuna sana hela zangu kuna mtoto mmoja nilimpata utamsikia "bby mi sinywi hite all i need is hennessy"wapi Nyege Nyege festival
Bro nasubir uzi mpya wa Turkey, china na dubai.
 
Mrejesho uko hivi, katika hangaika Hangaika zangu nilikutana na hawa watu wa SMART WORLD AGENCY. Hawa kwa Maelezo niliyopewa kwa haraka haraka katika Ofisi moja Namayiba Bus Terminal Kampala ni kwamba wao wanahukisika na kusaidia manunuzi pamoja na kusafirisha mizigo katika nchi hizi Kenya, Uganda na Tanzania pasipo mhusika kusafiri au ukiweza unasafiri kwa mara moja tu. Hawa wanajua maduka vizuri na pia taratibu za kusafirisha mizigo kwa usalama na kuvusha borders . Nilichopenda wana wakala yuko DSM, Kariakoo uhuru Street behind akiba bank 0679944922.Kama utakuwa na maswali zaidi nashauri tafuta huyu agent wa hapa bongo ili upate details vizuri.
 
5f3c8325ef133b9f1beafe841af6c6ff.jpg
 
[emoji15] [emoji15] duh! Unasenaje?? Hapana chezea Uganda, aliyekwambia alikudanganya sana mm ni mziefu sana. Sema Mganda ni mwerevu sana katika biashara. Halafu usije ukathubtu kununua electronic Uganda.
Mkuu electronics uganda zina nini?
 
Biashara Kampala imesimama kweli husisani nguo za kike Dsm bado hawajawafikia hawa Waganda..nguo zao zina quality nzuri kuukweli pia wana lugha nzuri ktk biashara kiasi kwamba unapenda ww mwenyewe kuhudumiwa mpk wacongo na Kenyan wengi sana wanaenda kushopping Uganda ukienda lazma utamani kurudi
 
niulizie carolight kubwa na ndogo na maji yake na jinsi ya kuisafirisha hadi dar
Naona jamaa wapo strict mbaya kuzuia vipodoz na madawa yaan border hupiti yaan wale TRA utashangaa wanafata moja kwa moja begi lako na faini utakayopigwa hapo ni balaaa.....Tahadhari tu ukitaka pga hizi dili kuwa mjanja na make your way CLEAR....
 
Hahahaha club gani hiyo mkuu na mimi nikienda nikasafishe macho
kiongoz kuwa makini aseee nliwah kuzama siku moja nkapata kipozeo htr tumepga gambe na kucheza badae naona passport iko chini kumbe napekuliwa mifuko iko nje daaah nlimzingua akatetewa na waganda nikawa mpole badae napepesa chini mazaga yangu ya mfukon katoa katupa chn pesa tu ndio aliambulia 50000 ya kiganda..Nliwaza sijui ningerudi vp Tz chezea msala wa Passport
 
Back
Top Bottom