Acha mambo ya pm ongea hapa kama vp huu mrejesho ungeuweka pmWakuu nilienda Kampala wiki iliyopita kwa safari ya kwanza na nimerudi na kitu hicho juu [HASHTAG]#smartworldagency[/HASHTAG]
Njoo PM kwa maelezo zaidi
Ajabu yeye alikuwa anapewa maelezo kwa uwazi na Ngwanampagi kaenda karudi anaita watu pm awape maelezo hahahaAcha mambo ya pm ongea hapa kama vp huu mrejesho ungeuweka pm
Bro nasubir uzi mpya wa Turkey, china na dubai.Biz za Uganda especially kwa mji wa Kampala kwa mtu ambae ndio anaanza biashara na ana malengo nayo kama akikomaa lazima itamtoa....Nimedeal sana na huo mji japo sasa hivi nipo ligi kubwa China,Turkey na Dubai lakini sitoisahau Kampala hasa kuna club moja ipo Pioneer Mall hiyo ilitafuna sana hela zangu kuna mtoto mmoja nilimpata utamsikia "bby mi sinywi hite all i need is hennessy"wapi Nyege Nyege festival
Mkuu Ng'wanapagi hebu njoo muelimishe huyu kijana mliyempa ushauri, kapata maarifa kaenda karudi anashindwa kutumwagia na sie hapa jamvini.Wakuu nilienda Kampala wiki iliyopita kwa safari ya kwanza na nimerudi na kitu hicho juu [HASHTAG]#smartworldagency[/HASHTAG]
Njoo PM kwa maelezo zaidi
Hayo ndio maneno kwani wataelimika wengi kupitia weweWakuu samahani, nina vitu vingi vya kuandika lakini ni vizuri kuandika hapa hapa kwa faida ya wote.
Mkuu electronics uganda zina nini?[emoji15] [emoji15] duh! Unasenaje?? Hapana chezea Uganda, aliyekwambia alikudanganya sana mm ni mziefu sana. Sema Mganda ni mwerevu sana katika biashara. Halafu usije ukathubtu kununua electronic Uganda.
Naona jamaa wapo strict mbaya kuzuia vipodoz na madawa yaan border hupiti yaan wale TRA utashangaa wanafata moja kwa moja begi lako na faini utakayopigwa hapo ni balaaa.....Tahadhari tu ukitaka pga hizi dili kuwa mjanja na make your way CLEAR....niulizie carolight kubwa na ndogo na maji yake na jinsi ya kuisafirisha hadi dar
kiongoz kuwa makini aseee nliwah kuzama siku moja nkapata kipozeo htr tumepga gambe na kucheza badae naona passport iko chini kumbe napekuliwa mifuko iko nje daaah nlimzingua akatetewa na waganda nikawa mpole badae napepesa chini mazaga yangu ya mfukon katoa katupa chn pesa tu ndio aliambulia 50000 ya kiganda..Nliwaza sijui ningerudi vp Tz chezea msala wa PassportHahahaha club gani hiyo mkuu na mimi nikienda nikasafishe macho
Asilimia kubwa ni feki, halafu sion unafuu mkubwa wa bei.Mkuu electronics uganda zina nini?
Bidhaa za kilimo zipi?? Pembejeo au zana?? Na kama ni zana, zana zipi unahitaji??Mkuu kuhusu bidhaa za kilimo sijui ila wapo wanaojua watakusaidia