Pita hapa kutana na vijana wa Jamiiforums wanaokuhitaji kiuchumi

Pita hapa kutana na vijana wa Jamiiforums wanaokuhitaji kiuchumi

Kabinti ka ludilo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
409
Reaction score
468
Wakuu ni idea iliyoletwa humu na mtwa mkulu kwamba vijana wa kitanzania wasio na ajira wasimame kupoteza muda kwa kujitembeza huku na huko kwa kutafuta ajira, badala yake tuunde organisation itakayo tuajiri mbali na kuwaajiri wengine Pia.

Heshima kwako Mtwa, tumefanikisha kuungana na tunakwenda vizuri. Kwa sasa tunahitaji sana watu wenye taaluma
 
funguka zaidi maana sijakuelewa vizuri unachokitaka
 
Wakuu ni idea iliyoletwa humu na mtwa mkulu kwamba vijana wa kitanzania wasio na ajila wasimame kupoteza muda kwa kujitembeza huku na huko kwa kutafuta ajira, baraza yake tuunde organisation itakayo tuajiri mbali na kuwaajiri wengine Pia.
Heshima kwako Mtwa
Tumefanikisha kuungana na tunakwenda vizuri . Kwasasa tunahitaji sana watu wenye trauma

hapo kwenye red ngoja nicheke kwanza hahahahahahahhaha

mnahitaji watu wenye Trauma

Trauma=physical injury.or a very difficult or unpleasant experience that causes someone to have mental or emotional problems usually for a long time

hahahah,i see mnahitaji hao watu
 
Nadhani alitaka kusema taaluma.
 
Wakuu ni idea iliyoletwa humu na mtwa mkulu kwamba vijana wa kitanzania wasio na ajila wasimame kupoteza muda kwa kujitembeza huku na huko kwa kutafuta ajira, baraza yake tuunde organisation itakayo tuajiri mbali na kuwaajiri wengine Pia.
Heshima kwako Mtwa
Tumefanikisha kuungana na tunakwenda vizuri . Kwasasa tunahitaji sana watu wenye trauma

Kumbe ndio nyie niliowaona pale Ludilo njia ya kwenda mashamba ya chai !!!!
 
Back
Top Bottom