Pita hapa kwa Ufafanuzi kuhusu mafunzo kabilishi {BRIDGING COARSE} kwa ajili ya ualimu

Joined
Feb 28, 2014
Posts
76
Reaction score
19
Naomba msaada kwa hili hv ukimaliza kusoma hiyo kozi kwa mwaka mmoja je utaanza tena miaka miwili kwa ajili ya kusoma ualimu daraja A au utaingia moja kwa moja mwaka wa pili ili kusoma tena ualimu daraja A kwa mwaka mmoja tena kufanya miaka 2 au ndio tutasoma miaka mitatu!
 
We iangalie katika tangazo la wizara ya elimu kuhusu mafunzo ya ualimu kwa mwaka wa masomo 2014/2015
 
We angalia katika tangazo la wizara ya elimu kuhusu mafunzo ya ualimu kwa mwaka wa masomo 2014/2015
 
Wanaweka matangazo mapya bilq kutolea ufafanuzi utafikiri watu wote wanaelewa
Halafu vigezo vya kujiunga na mafunzo kabilishi havitofautiani na vile vya kujiunga na ualimu grade A
 

hamna ukifaulu mtihan unaenda mwaka wa pili mazima wala uxmi miaka 2 labda ufeli kk ndo hvyo mku
 
baada ya kusoma hiyo kozi ya mwaka mmoja utafanya mtihani na ukiushinda
utaungana na wale wa div 1,2,3, kumalizia mwaka wa pili. soma vizuri tangazo
limeelezea vz tu!
 
hapo sawa! Vyuo vya private navyo vitatoa kozi hiyo?

vitatoa , ukisoma lile tangazo linasema maelekezo haya yanahusu vyuo vya private na vile vya serikali,
na ninadhani hawa ndio watakuwa wateja wakubwa wa vyuo vya private, kwa sababu wale 1,2,3, waliowengi
wanapenda kuendelea na 5,6.
 
vitatoa , ukisoma lile tangazo linasema maelekezo haya yanahusu vyuo vya private na vile vya serikali,
na ninadhani hawa ndio watakuwa wateja wakubwa wa vyuo vya private, kwa sababu wale 1,2,3, waliowengi
wanapenda kuendelea na 5,6.

Kwa hiyo vyuo vya government watasoma wa kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…