Pita hapa kwa ufafanuzi kuhusu utumishi wa umma

Arash charlz

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
50
Reaction score
1
Mimi nimepata 4.32 mwaka 2013 naomba msaada wa kujulishwa kuhusu kusoma PUBLIC ADMINISTRATION je chuo cha kozi hii kipo wapi? Ada, na kuhusu ajira zao kwa ngazi ya cheti.Ni hayo tu ndugu zangu naomba unijuze...
 
msaada jaman naomba unifahamishe kuhusu hili
 
Mimi nimepata 4.32 mwaka 2013 naomba msaada wa kujulishwa kuhusu kusoma PUBLIC ADMINISTRATION je chuo cha kozi hii kipo wapi? Ada, na kuhusu ajira zao kwa ngazi ya cheti.Ni hayo tu ndugu zangu naomba unijuze...

Division 4 sahau Public Administration!
 
Back
Top Bottom