Pita hapa ndugu kwa ufafanuzi zaid kuhusu ualimu

Pita hapa ndugu kwa ufafanuzi zaid kuhusu ualimu

Haya nimewelewa sana ndugu zangu nawashukuru sana mlio nielewesha but wengine wote_PAMOJA SANA
 
Huna sifa. Lakufanya tafuta course zingine au kama unataka uwalimu karudie shule au mtihani wa kidato cha nne upata point zinazotakiwa. Afu hustaili kabisa 2013 si ndo baraza la mitihani lilirudia mtihani lenyewe lakini bado umepata uchafu huo, acha uchokozi hufai kuaomea hiyo taaluma.

Poa huu uchafu niliopata wacha nika utupe jalalani
 
Back
Top Bottom