CHARLES KIHOMBO
Member
- Feb 28, 2014
- 76
- 19
- Thread starter
-
- #21
Huna sifa. Lakufanya tafuta course zingine au kama unataka uwalimu karudie shule au mtihani wa kidato cha nne upata point zinazotakiwa. Afu hustaili kabisa 2013 si ndo baraza la mitihani lilirudia mtihani lenyewe lakini bado umepata uchafu huo, acha uchokozi hufai kuaomea hiyo taaluma.
Nashukuruu,mkuuuBasic 589,000/=
Take home 473,000/=
Yani mtu akifeli ndo anaopt ualimu mnaifanya flani yetu ionekane ya watu wasiojiweza kielimu
rudieni mitihani ndo msome ualimu
Shost kumbe mwalimu, itabidi tuanzishe CWT yetu humu.
Ntakuwa mwenyekiti wa hiyo cwt kitu cha kwanza ntakagua vyeti...