Pita Hapa tucheke kidogo, tusahau siasa kwa muda

Pita Hapa tucheke kidogo, tusahau siasa kwa muda

Hali za ndoa

Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi
hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu!

Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha
kikao cha ndugu wote pande 2,
Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu
anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital
zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga
wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa
atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye
ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu
alipoolewa ndo kijana wetu atapona!
Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii
kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote!
Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje
wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake
mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana,
mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia
wanaume peke yao! Mzee akamwambia
mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo?
Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani
umejionea hali halisi.
Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako!
Kijana akazimia!
SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.
 
1c61cb358f8574749b8355bda3a1e789.jpg
 
*Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii mnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii*
 
Sitaki hata kucheka, jua limeniwakia hivi napanda daladala na hela kamili yaani 400 hapo ikidondoka 200 maelewano na konda yanakuwa madogo nitachekaje
Mkuu umenikumbusha juzi nipo kwenye daladala jamaa ile kushuka tu katimua mbio. Konda kabaki ameduwaa tu. Hatari sana
 
<b>U buy a car for ur girl,Another guy buys fuel for her; *That is Division of labour.*U buy her clothes & and another man removes them;*That is Separation of powers.*U pay 4 her skull fees & another guy pays 4 her house rent,That is Combined business.* She tells u that she is not ready 2 make luv,whileanother guy drills her always;What is thatcalled?*A) opportunity cost* *B) equilibrium point* *C) Serious Monopoly* *D) theft**E) Bad investment*Where are my economics students??
 
<b>MUST READIf your man is cheating on you, don't argue with him my sister because you will not win. Save your self from High blood pressure. Just change all the names of the female contact on his phone. do not delete the numbers. Mix them. replace Natasha with Lisa...Nikki with Grace....so on and on.wait the moment he's gonna call or sms them one by one......Make your self a cup of coffie and relax.. you'll thank me later.Wisdom is Spoiling me
 
0>Never argue with a woman, just use yourbrains like this my guy.A man went on a night out with hisfriends the wife is furious and tellsthe kids that when he comes backthey must not open the door for him.At about12 o'clock the man comesback and knocks...the Wife tells him "go sleep where yourcoming from " and the mananswered" I'm not here to sleep mydia , I'm here to collect condoms inmy room on top of the table or give itto me,there'r lots of women at the party!"The wife opened the door and said"idiot" you are not going anywhere. Enter thehouse.
 
Baada ya kuchat nae kwa MDA mrefu,finally leo tumeonana nae...
Alaaniwe aliyetengeneza Snapchat[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sitaki hata kucheka, jua limeniwakia hivi napanda daladala na hela kamili yaani 400 hapo ikidondoka 200 maelewano na konda yanakuwa madogo nitachekaje
Hapa mkuu kucheka inakua ngumu haswaa
 
Back
Top Bottom