Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
8,926
Reaction score
17,880
Kumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo

1.Centmirror/site mirror ikiwa na maana ya side mirror

2.herement/ element(kofia ngumu) ikiwa na maana ya helmet.

3. Flampeni(kifaa cha kukaangia) ikiwa na maana ya frying pan
4.________________________.

5._______________________

Ongeza na we we msomaji wangu ili tujiimarishe Zaidi kimsamiati.

Ahsanteni.
 
Tujifunze kwanza kuandika
 
Hivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
Screenshot_20171201-191444.png
 
Back
Top Bottom