Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Hebu tuwekee kwa maneno namba hii sisi wa memkwa!! TSHS 995,008,008.73 kwa lugha ya malkia

In Kiswahili: Milioni Mia Tisa Tisini na tano, elfu nane na nane na senti sabini na tatu.

In English: Nine hundred ninety-five million, eigthy thousand and eight, seventy three cents.
 
Si kila kitu ni kosa mazee, kuna accents ( matamshi/lafudhi) na dialects ( lahaja) ambavyo hutofautisha watu.
Japo kuna wanaokosea ila usidhani muda wote we upo sahihi na wao wamekosea ila ni mazingira tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
determine - wanasema detamaini badala ya detamini
south - wanasema sauzi badala ya sowthii
 
kuna mmoja zero(0) anaisomaga kama ilivo badala aisome aisome ziro wote ni mashahidi mnamsikiaga
 
In Kiswahili: Milioni Mia Tisa Tisini na tano, elfu nane na nane na senti sabini na tatu.

In English: Nine hundred ninety-three million, eigthy thousand and eight, seventy three cents.
Hapa mzee hapa tu. Hii tatu siioni.
 
Back
Top Bottom