digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Tujifunze kwanza kuandikaKumekuwepo na kasumba ya watu kutamka maneno ya kingereza kimakosa ima kwa kujua au pasina kujua, ifuatayo ni orodha ya hayo maneno, waweza ongezea mengine msomaji wangu ikiwa unayo
1.Centmirror/site mirror ikiwa na maana ya side mirror
2.herement/ element(kofia ngumu) ikiwa na maana ya helmet.
3. Flampeni(kifaa cha kukaangia) ikiwa na maana ya frying pan
4.________________________.
5._______________________
Ongeza na we we msomaji wangu ili tujiimarishe Zaidi kimsamiati.
Ahsanteni.
Sasa mbona umemdipu mara tatu?Ngoja kwanza mtoa mada ntakudipu.
Sasa mbona umemdipu mara tatu?
Kioo hakidanganyi?
Hivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
Ukiona hivyo ujue mahaba yalinizidia, nikakutafuta PM nikagundua umeniblock...Hahaha Babu bwana. Mjukuu wako nlikosea aseee.
Kuandika mini mkuuTujifunze kwanza kuandika
Ukiona hivyo ujue mahaba yalinizidia, nikakutafuta PM nikagundua umeniblock...
Nimeamua kumwachia Mungu asemezane na moyo wako...
Ww sio muarusha kweli maana [emoji23]Hivi ni "Nairobi fly" au "narrow bee fly"??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"Colapusheni" -corruption
"Fenti Ford" - Front page