kuna kitu kinaitwa phonology ni science inayozungumzia utamshi wa maneno ya kiingereza na kuna tofauti kati alphabets na sounds kwa mfano hilo alphabet "G" kwenye baadhi ya maneno inakua hivohivo mfno goal..ila kwenye gift ..inatamkwa tofauti...gift, geography.... angalia haya maneno goal, god ,gunLahaja inaaingiaje hapo hebu nieleze kuna lahaja kadhaa za English na zote zinatamka gift sio jift
"By foot" hiyo ni english gani mkuu?1. I have come on foot
2. I have come by foot
sawa iyo o ndio inakua weak...Ktk British English b inasikika waziwazi
Ktk American English b inasikika kwa mbali
Source: obvious Meaning in the Cambridge English Dictionary
Basi kama ni hivyo acording kwa jibu lako bila kujali grammar watu wengi huwa hawakosei ila kinachofanyika ni kuongea english kwa lugha za kwao, mfano Jamaican english.By Foot is an American English phrase that means walking.
Mf. The best way of reaching the beach is by foot.
Source ; by foot (phrase) American English definition and synonyms | Macmillan Dictionary
Kwa hiyo mkuu maneno kama rejeta, chemli, yameshaingia kwenye dictionary ya kiswahili? Ni vocabulary halisi za kiswahili?Wadau humu naona wanachanganya kati ya maneno ambayo yamebaki katika asili yake ya kiingereza na yale ambayo tanzania imeyatohoa na kuyatamka kwa kiswahili...nazani mleta mada anakusudia haya ambayo bado yapo kwenye lugha yake ya asili ya kiingereza halafu watu wanayakosea katika matamshi na si yale ambayo yametoholewa na kuwa sehemu ya lugha ya kiswahili,na hivyo si makosa kuyatamka kwa kiswahili. eg
Radiator=rejeta
Commission=kamisheni
chimney=chemli
frying pan=flampeni
video=video (kwa sauti ya kizaramo)
Then hii mada inaongelea Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako kwa mantiki hii hatutaki usahihi wa kupitia AmE wakati tunarekebisha maneno ya Kiingereza ambayo yanaandikwa/kutamkwa vibayaBasi kama ni hivyo acording kwa jibu lako bila kujali grammar watu wengi huwa hawakosei ila kinachofanyika ni kuongea english kwa lugha za kwao, mfano Jamaican english.
Ila english sahihi inafuata grammar.
Tobaa hadi chemliKISEMSII badala ya K C M C
Nyingine ni ile taa wanaita Chemli badala ya CHIMNEY
Ku-MIND pia hii ZEBRA CROSSLeo nimepigwa bao na traffic, hivi polisi wa barabarani wanaovaa nguo nyeupe wanaitwaje kwa kiingereza? Au ni matrafic?