Pita hapa ukalale

Pita hapa ukalale

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
560
Reaction score
845
dah wakuu nina miezi miwili hivi baada ya kumpata mpenzi mpya kwenye sosho media
huyu she uwaga nashindwa kumuelewa sometime najiuliza ndio dijital imetupeleka mbali kiasi hiki balaa nipale tunapo wasiliana kwa sms kuchat whatsapp,fb, n.k sms zake huwa namna hii
-morn beba send me credyo...plz be
-bae plz dnt 4gt pizza alafu kuna mtu anauza vit-shet lo u xoxo
-bby time for swimming ni mie somemoney naenda na rafiki zangu Then Ineed Some Money
My Handsome Buy Me Data Plz
Mpenz uhuuhuhh 2100 kinga npo mp....Me Ntalia Shanuna Hapa Mwenzio
wakuu ndio ukuwaji wa tecknolog hama ninii
 
Mpenzi Wako Sio "Rastafari" Kweli??? [emoji28] [emoji28] Anyway, Mfundishee Aache Huo Utoto.
 
dah wakuu nina miezi miwili hivi baada ya kumpata mpenzi mpya kwenye sosho media
huyu she uwaga nashindwa kumuelewa sometime najiuliza ndio dijital imetupeleka mbali kiasi hiki balaa nipale tunapo wasiliana kwa sms kuchat whatsapp,fb, n.k sms zake huwa namna hii
-morn beba send me credyo...plz be
-bae plz dnt 4gt pizza alafu kuna mtu anauza vit-shet lo u xoxo
-bby time for swimming ni mie somemoney naenda na rafiki zangu Then Ineed Some Money
My Handsome Buy Me Data Plz
Mpenz uhuuhuhh 2100 kinga npo mp....Me Ntalia Shanuna Hapa Mwenzio😵😵
wakuu ndio ukuwaji wa tecknolog hama ninii

hivi hizi takataka mnaziokotaga wapi aiseee..
 
Huyo si mwanamke wa kuwa naye

Ana utoto wa kijinga
 
hapana ndo dalili za mke mwema endelea nae tu
 
Back
Top Bottom