Pita hapa uone jinsi AI inavyotumika kutimiza ule unabii unaohusu mwisho wa dunia!

Shetani mjanja sana. Wakristo wengi wa kizazi hiki wataenda motoni kwa kushindwa kujiheshimu ibada. Huo utetezi wako kuhusu simu sio mbaya ila jua kabisa kuanza kuchukua video kanisani ni ushetani mtupu na kukosa heshima na ibada.
 
Acha u
Hivi si MUNGU ALISEMA HATAIANGAMIZA YENA DUNIA?!
 
Acha u

Hivi si MUNGU ALISEMA HATAIANGAMIZA YENA DUNIA?!
Alisema hataiangamiza tena kwa maji. Badala yake dunia itaangamizwa kwa moto pamoja na wote wasioamini. Soma 2 Pet 3:7
 
Tupo tunaomuelewa na kumfatilia mkuu! Endelea kuchapa injili mama mchungaji!
 
Ni kweli kabisa! Ni muda wa kuingia katika Safina na kutulia kabla Mlango haujafungwa.
 
AI mbona haituambii mwisho wa sisiemu
 
Itakuwa nzuri kama itanifundisha kwa vitendo namna ya kufanya upasuaji katika matibabu.
 
Wazungu wanatumia Artificial intelligence na sisi waafrika tunatumi Ancestral Intelligence
 
Ukimfumfua Babu aliyekufa karneya 17 akija Duniani leo anaweza asikubali kuwa ni Dunia ileile, tupo katika higher level of humanhood
 
Haisikitishi. inafurahisha kwa sababu hiyo ni dalili kwamba Yesu amekaribia kuja kutuchukua, na kutupeleka mbinguni kwenye raha ya milele.
Zinduka toka usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…