Pita kimiya kimiya usitie neno hapa soma then usepe

Nimetamani


yaan unaenda unachagua wapo kwa mafungu wanaruka ruka tu wanakukaangia unaona na 'ngama'(ugali) inapikwa pemben na hyo kachumbali na pilipil za kutosha !teh teh !raha mno !
 
jaman shem lake "umehambiwa hupite KIMIYA KIMIYA" mbona wewe wataka 'kualibu sledi" hii lakini? hacha nimtetee mume wangu !
haya yameisha ngoja nipite hivi shem[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
hhhaha joverest hawez kuwa mod bwana we!
Ni mod huyu jana na juz alikuwa zam leo kaja kusumbua tena humu

Anachokoza paka wakati yeye anajuwa kuwa ni panya uchwara ukimchana chana kwa kucha anakimbilia mamlaka za juu kwenye ule mhimili uliojichimbia kwa chin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…