Pitch ya kiwanja cha mkapa inachimbwa chimbwa hovyo ndo sababu ya kuharibika hovyo hata baada ya kutengenezwa

Pitch ya kiwanja cha mkapa inachimbwa chimbwa hovyo ndo sababu ya kuharibika hovyo hata baada ya kutengenezwa

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
 
WE MBURULA HIYO PICHI HAIJAWAHI KUTENGENEZWA TANGU MWAKA 2007.

Huwa wanaboresha majani.
Hawaajawahi kufumua, wala Kutengeneza kwa Standard na Demand Za CAF na FIFA wanazo zitaka.

Hata viti huwa vina Expire havitakiwi kukaa zaidi ya miaka 7.

ALL THE BEST RAIS WA MBURURA.
 
Ahsante kwa kushiriki na karibu tena
 
Back
Top Bottom